Kiwolani

Kiwolani ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawolani. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiwolani imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolani iko katika kundi la “Wissel Lakes”.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search